Maigizo ya Edward Lowassa yazidi kugonga mwamba!

Maigizo ya Edward Lowassa yazidi kugonga mwamba!

Mimi naona tuhame kwa Edo maana sasa sio tena habari ya mujini
Khaa!! Hili nalo ni neno. Alikuwa anajipigia promo eti yeye ni mtu wa maamuzi magumu. Kiko wapi sasa bado anajiumauma tu kuamua haamui ila anawayawaya. maji ya kikombe aliita mafuriko:doh:
 
msanii lowasa katika ubora wake.

anataka kutumia fedha kununua uongozi.

Hilo haliwezekani kamwe
Mkuu,
Wazee wa CCM waliustukia usanii wake.

Kwa sasa ni mwanachama wa kawaida ndani ya CCM.

Ametangaza kutogombea tena Ubunge wa Monduli.
 
E.L ni mlaini sana na hiyo ndo bye bye kwake ..chezea politik wewe.
 
Ndugu, usidanganyike kuhusu ujio wa Magufuli. Hatakuwa na jipya. Hata Kikwete aliingia kwa staili hiyo hiyo. Tujiulize WANAOMWEKA Magufuli mbele kwa kumpamba na kumtetea ndio watakaomfunga KUFULI kwa maslahi yao binafsi. Wa kwanza ni Ben Mkapa,. huyu alipigania kwa nguvu zake zote John Pombe apite. Hili siyo bure. Hawa unaosema atawasafisha safisha ndo wanaochanga pesa kwa CCM ili ashinde kwa makubaliano kuwa atalinda ufisadi wao katika biashara zao halali na haramu......

Magufuli na Kikwete ni watu wa kaliba tofauti sana. Magufuli si mtu wa kubeba wahalifu wewe subiri kuanzia hiyo November 2015 utaona.
 
hivi wa msukuma(mshamba) ume ajiriwa jf?mana kila siku unapost hazipungui5.na comments hazihesabiki duh njaa mbaya
 
Fisadi Lowasa hana jipya na akifanya mchezo tuta-freeze hata hizo accounts zake za benki za kifisadi. Tutamtumia TRA wakampigie mahesabu kwenye biashara zake kuona amekwepa kulipa kodi mabilioni mangapi kama hatafilisika ghafla. Wapambe wake mshaurini atulie asitingishe kiberiti ataumia bure.
hee kumbe mambo yako hivi nchi hii?yaani wafanyakazi tunakatwa kodi kila mwezi while wengine wanakula pension,mpaka mkolofishane kisiasa ndo mtafute kodi Kwao?kweli ccm mmepoteza uhalali wa kuendelea kuliongoza Taifa hili
 
Magufuli na Kikwete ni watu wa kaliba tofauti sana. Magufuli si mtu wa kubeba wahalifu wewe subiri kuanzia hiyo November 2015 utaona.
Ili kukuonesha Kuwa hatokuwa na tofauti na wanaccm wengine na sera ya chama chao ya wizi na ufisadi ameba za kwa kumteua samia mwenyekiti mwenza wa katiba ya ccm chini ya usimamizi wa fisadi papa na Mzee wa makengeza,katiba inayolinda na kuendeleza ufisadi.Magufuli can't say no kwa katiba pendekezwa
 
Magufuli na Kikwete ni watu wa kaliba tofauti sana. Magufuli si mtu wa kubeba wahalifu wewe subiri kuanzia hiyo November 2015 utaona.
unaona alivyoanza kwa kuipigia Kura ya ndiyo katiba ya joka la makengeza kwa kumteua samia-ccm ni ile ile
 
Back
Top Bottom