Habari wapendwa!
Mimi ni msichana ambae niko single, natafuta mwenza ambae yuko siriaz, najua wengine watanidhihaki, wengine watasema mtandaoni si mahala pake ila mimi nina amini mapenzi popote, kwani nina ushahidi wa watu ambao wameshafanikiwa kwa njia hii. Sifa ni simple tu awe na elimu ya chuo, awe na kazi au biashara ya kueleweka, lazima awe MKRISTO na umri ni kuanzia miaka 35. Alie interested ani PM.
By the way, najua wapo watakaoshangaa kwamba nimejiunga muda mfupi mara natafuta mchumba, well hilo ndo lengo kuu lililonifanya nikajiunga humu.