mahusiano

mahusiano

veronice

New Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
3
Reaction score
0
mi nna swali tu naomba mchango wenu?hivi ukihisi mwenzi wako wa ndoa anacheat inastahili uchukue maamuz gan?
 
Tukiishi kwa hisia mbona tamalizana mkuu
 
mi nna swali tu naomba mchango wenu?hivi ukihisi mwenzi wako wa ndoa anacheat inastahili uchukue maamuz gan?

Fanya uchunguzi, ila wakati huo usimchukie wala kumnyanyapaa maana taarifa zinaweza kuwa ni za uzushi ...
 
hisia mbaya ni adui namba moja katika mapenzi,vunja ukimya sema nae
 
Back
Top Bottom