UTAMTAMBUAJE MKEO AU MUMEO KAMA ANAKUPENDA AU ANA UPENDO WA DHATI? Haya tutoe vigezo basi! Kupitia JF Mtandao ulio bora.
lets say, mkigombana unakosa raha kabisa kabisa..teh anakuwahi 'im sory nyingi'..anajal hisia zako..hmm apasasa mtihani,ukikutana na gumegume janja liloshndkana,linaweza kukutega ukadata,kumbe jizi!
Ila enewei mule mule..anakujali,mda wote anapenda uwe na raha,yan hata ukiwa na hasira ya kumeza wembe atakufanya ucheke uvunje mbav,hasira yote kwisha.
Anapenda familia na hata rafik zako, anakushauri vizuri.
Anajua nin unataka,hata mkiwa mbali. Hakudanganyi(hawa wapo mbinguni tuu..ya humu dunian0.5%heheh).
Yani utamjua tu, ukiwa nae anaheshimu uwepo wako.(hayupo yupo bze na mengne,eg simu)
muwazi..mnataniana..yani unajua eh mahusiano yenye afya daima.
Ukiwa na tatizo wa kwanza kukushauri na hata kukusaidia eg kifedha au kimawazo.
Siyo yule, akiwa na ny*ge basi ndo utaitwa majina yoote hadi ya urithi! Mweh