kijazi07
JF-Expert Member
- Feb 14, 2016
- 1,036
- 2,237
Mahusiano ni zaidi ya kufanya sex!! Wangap wana afiki?? Hapa ndo tunapata tofauti kati ya SEX na intimacy
Wengi wetu hasa waafrica tupo na ideology ya kutanguliza sex kwanza na ndo maana mahusiano mengi hufa kwasababu kitu kinacho tuunganisha ni sex nando maana ikitokea mmoja wapo katika ndoa akipata shida inayo sababisha ashindwe kufanya sex basi ndoa hiyo asilimia 80% huweza kuvunjika
Nimeongea na vijana kadha wa kadha na kuwauliza
Je' unaeza kuwa na mpenz na ukalala nae wiki nzima bila kufanya sex na uka enjoy mahusiano yako?? Wengi walijibu NO tena wengine walipinga vikali na ndo maana nikaja hapa kushare na nyie na kuwaeleza ukwel watu wanapaswa kutofautisha kati ya kutamaniana na mahusiano
Kutamaniana itaishia kwenye sex na vitu vidogo hueza pelekea ikafika kweny mahusiano ila
Mahusiaono ni zaid ya kufanya sex...