neddylove
Member
- Feb 25, 2019
- 8
- 5
Maisha yako hivi siku zote unapompa MTU muda wako yeye hudhani wewe kila siku utakuwa free, Lakini Haelewi kuwa unajiumiza kiasi gani kwa ajili ya kumpa muda huoo
Hakuna MTU jasiri kama yule anaetabasamu wakati wa maumivu, hivyo basi kuwa na furaha na muda huu sababu huu ndio muda wako wewe na hakuna muda baada ya muda huu Tena
Dunia ya Sasa Umpate MTU anayekubembeleza Sana, anayejua Thamani Yako Ata kama ukiwa mbali naye bado atajua umuhimu wa uwepo wako!! Dah #MSHUKURU_MUNGU ukimpata uyoo , Hapendi mgombani bila ya sababu ya msingi ,Hapendi muwe tofauti siku zote , analibeba kosa sometimes litakuwa sio kosa lake Anakuwa Mpole Kwako ,anajishusha Kwako Anakuomba msamahaa , kwa Njia yoyote Atajitaidi muwe Sawa ata kujaribu Pia kushilikisha watu kwenye kutatua Tatizo lake , Sometimes Kosa lenyewe litakuwa alieleweki mbele wala nyuma ikiwa Mpenzi wake Amenuna Atajishusha atakuomba Msamaha
Mshukuru Mungu ukimpata uyo watu saiv awapendi kujipa stress za #MAPENZI za kubembelezana Sana, ikiwa MTU ataki anakumwaga Tuu anafanya Mambo yake Tuu anatafuta mwingine Tuu , Maisha ya Mjomba #MAGUFULI tuu ni stress tosha kwao na wewe unamletea Stress za mapenzi anaona unazid kumchanganya Tuu Na Maisha yake
Sometimes nako Kuachana ni kujitia Nuksi Tuu katika Maisha yako Unamuacha HAMISI unamfata Juma wote Si Sawa tuu au uyo Juma atokuumiza Milele , yuko Perfect kwa kila kitu, kama ulimuumba ww Sawa Hatokuumiza ,Mapenzi ni Yale Yale tuu Uvumilivu Tuu Ndio jambo LA msingi na kumshilikisha mungu wako katika #MAHAUSIANO yako kwa kila kitu
#HUU_MWAKA_SIO_KUPEANA_STRESS
Sent using Jamii Forums mobile app