Miser Benny
Member
- Sep 2, 2018
- 55
- 16
Kitu kibaya zaidi ya maumivu, ni pale mtu anajua unaumia lakini hajali kabisa kama unaumia, Embu jaribu kufikilia hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho ndo najarib kukifikia maan siyoo rahis san kupokea mabadiliko
😂😂acha kuwekeza akili mapenzini mkuuKitu kibaya zaidi ya maumivu, ni pale mtu anajua unaumia lakini hajali kabisa kama unaumia, Embu jaribu kufikilia hilo![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani anakuumiza!Kitu kibaya zaidi ya maumivu, ni pale mtu anajua unaumia lakini hajali kabisa kama unaumia, Embu jaribu kufikilia hilo![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Najitahid san lakin dah, ila nitafany hivy nahis ni mda sahih wa kufnya mambo mengineacha kuwekeza akili mapenzini mkuu
Mwanamke ambaye niliamin san kwak Kuwa na mtu sahihi lakin saiv mambo yanenda mlamaNani anakuumiza!
kuwa malaya tu achana na kupendaKitu kibaya zaidi ya maumivu, ni pale mtu anajua unaumia lakini hajali kabisa kama unaumia, Embu jaribu kufikilia hilo![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwishney mzee.Kitu kibaya zaidi ya maumivu, ni pale mtu anajua unaumia lakini hajali kabisa kama unaumia, Embu jaribu kufikilia hilo![]()
Sent using Jamii Forums mobile app