Mahusiano yepi ni bora?

Mahusiano yepi ni bora?

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,174
Reaction score
166,163
Mwanamke ana umri mkubwa kuliko mwanaume
mwanamke na mwanamke wana umri sawa
mwanamke ni mdgogo kuliko mwanaume?
 
Mwanamke ana umri mkubwa kuliko mwanaume
mwanamke na mwanamke wana umri sawa
mwanamke ni mdgogo kuliko mwanaume?

Full kulelewa....
Hatari sana hii kwa kizazi kijacho, labda kama penzi ni la dhati.
Kama ni haya mapenzi ya dar es salaam l hate it.
 
Jambo la muhimu mkubwa ni mapenzi ya kweli. Kiutamaduni tulivyozoea mama mtu mzima kubeba yankee inasound ndivyo sivyo, haba dingi mtu mzima kuchukua SIDANGANYIKI bado haisound safi. But all in all true love sounds!
 
?Hilo la ukweli sana.
Age aint nothing, mi nataka penzi la dhati.
 
Mwanamke ana umri mkubwa kuliko mwanaume
mwanamke na mwanamke wana umri sawa
mwanamke ni mdogo kuliko mwanaume?

Unapozungumzia mahusiano wacha mimi ni quote in terms za ndoa..... maana hayo mengine sio rasmi.

Katika maisha lazima mmoja awe mkubwa na kiongozi wa familia, sasa na by default aliye mkubwa ndiye atakayekuwa kiongozi wa familia (e.g baba wa nyumba akifa mtoto wa kwanza mostly wa kiume ndo anakalia kiti cha baba ki maamuzi)

Sasa Mwanaume akiwa mkubwa atapata heshima yake ya kuwa kiongozi wa familia, ila akiwa mdogo kwa mwanamke ategemee tu dharau na kuendeshwa kwani hatokuwa na sauti.
 
Back
Top Bottom