Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 39,923 Reaction score 61,716 Jul 11, 2021 #1 Mahusiano yenye afya ni yale yanayokupendezesha na kukupa furaha tangu ulipoingia kwenye hayo mahusiano,na kukufanya kuwa:- Smart/ usafi wa mavazi na mwili kuwa mwenye furaha muda wote Mwili kutakata Kila mmoja kuchangia kwa 100% katika huo uhusiano Kutokuwa na msongo wa mawazo Kufanya kazi kwa bidii kutokana na ushirikiano unaopata kwa mwenza Kuwa na maendeleo endelevu n.k Mahusiano yasiyokuwa na afya yanamfanya muhusika:- kutokujijali na kuwa mchafu mchafu Kuwa na mawazo mengi au msongo wa mawazo Kupigwa mizinga isiyoeleweka Ngozi ya mwili kufubaa Kuwa mlevi kupitiliza Ufanisi wa kazi kupungua Kuwa na mahusiano ya muda mfupi mfupi kwa wapita njia Pesa nyingi kupotea kutokana na kuhonga au kulazimisha penzi Mwili kukongoroka n.k
Mahusiano yenye afya ni yale yanayokupendezesha na kukupa furaha tangu ulipoingia kwenye hayo mahusiano,na kukufanya kuwa:- Smart/ usafi wa mavazi na mwili kuwa mwenye furaha muda wote Mwili kutakata Kila mmoja kuchangia kwa 100% katika huo uhusiano Kutokuwa na msongo wa mawazo Kufanya kazi kwa bidii kutokana na ushirikiano unaopata kwa mwenza Kuwa na maendeleo endelevu n.k Mahusiano yasiyokuwa na afya yanamfanya muhusika:- kutokujijali na kuwa mchafu mchafu Kuwa na mawazo mengi au msongo wa mawazo Kupigwa mizinga isiyoeleweka Ngozi ya mwili kufubaa Kuwa mlevi kupitiliza Ufanisi wa kazi kupungua Kuwa na mahusiano ya muda mfupi mfupi kwa wapita njia Pesa nyingi kupotea kutokana na kuhonga au kulazimisha penzi Mwili kukongoroka n.k
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,771 Jul 11, 2021 #2 Tutafute hela tu, tule vizuri, tulale pazuri wazazi wetu wafaidi.. hayo mengine ikitoke tu
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,703 Reaction score 48,143 Jul 11, 2021 #3 Kutokujijali ni tabia ya mtu, anaweza akawemo kwenye uhusiano wenye afya kama unavyouita wewe, na bado mtu huyo akaendelea na tabia yake ya uchafu, au ulevi mbwa.
Kutokujijali ni tabia ya mtu, anaweza akawemo kwenye uhusiano wenye afya kama unavyouita wewe, na bado mtu huyo akaendelea na tabia yake ya uchafu, au ulevi mbwa.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,909 Reaction score 193,835 Jul 11, 2021 #4 Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,514 Reaction score 88,996 Jul 11, 2021 #5 Smart911 said: Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana... Click to expand... Mkuu kilishaumana nini maana umeandika kwa hisia..🤣
Smart911 said: Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana... Click to expand... Mkuu kilishaumana nini maana umeandika kwa hisia..🤣