Hayo ni mawazo potofu kwani hayana ukweli ndani yake mtu akiamua kufanya yake kaamua tu mbona hata walioko ktk ndoa hufanya hivo???? Afu hii hali imewaathir wapenz wetu ambao hawako chuo coz kila mda anakufikiria unafanya ujinga kumbe hata huna habar nao maskini ya mungu umetulia zako sasa sijui hizi fikra zitaondokaje ktk bongo za watu