Mahusiano ya ulaghai

Demu kama huyo wa vizinga akiomba pesa mwambie aje guest fulani ili aje aichukue. Kama akija ni kumtembezea moto tu, kwa huruma sana anapewa 5k au 10k

Baada ya hapo unampotezea mazima
 
Kashalizwa mapemaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Ukisikia yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa πŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈ!! Ujue lishampataaaa hukooooo🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣!!
siku ukitupia kule nistueeee
 
Lazima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maisha ndo haya haya

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Sijaumizwa mbona mmeng'ang'ania nimetoa angalizo kwa mwanaume mwenzangu tuwe makini lakini pia mbona watu wote wanapost ili kutoa angalizo kwa wenzangu
 
Sijaumizwa mbona mmeng'ang'ania nimetoa angalizo kwa mwanaume mwenzangu tuwe makini lakini pia mbona watu wote wanapost ili kutoa angalizo kwa wenzangu
Ahaa Basi sssauuuwaaaaa✌️✌️✌️✌️!
 
Dah,nilikuwa nae mmoja wa aina hiyo, mizinga mingi ukimuomba mzigo anakuambia subiri usiwe na haraka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…