Mahusiano ya pombe na ngono

Mahusiano ya pombe na ngono

Ukila gambe af ukaenda kusimamia shoo kwanza unasimamia sna ukucha yaan unachelewa sana kuwatoa wazungu af pia aibu zote kwishaa na hata demu akiwa mbaya/mbovu we unaona burdaani tuu
 
Kuna mahusiano gani kati ya pombe na ngono?

Kuna watu wanaamini wakinywa pombe wana perfome vizuri kitandani.

Kuna wengine wanaamini pombe inawaongezea nguvu kwenye kujamiiana.

Binafsi niwahi kuwa na mpenzi ambae kabla hatujazini anataka anywe kwanza kitu cha konyagi awe high baada ya hapo ananipa game la maana.. staili kibao na maneno mengi ya kuvutia.

Anamwaga radhi kiasi kwamba asipokunywa basi hawezi fanya kitu.

Kuna wanaoamini pombe huondoa aibu kwenye tendo. Ingawa sio wote wanaotumia pombe then wakaenda kusex no.

Nimekutana sana na story hizi like mtu yupo bar anastua anasubiri mwenzie aje wa kazini.

Pia kuna wale ambao wakishafika lodge au hotel wanakunywa kwanza kwenye vyumba then wanabinjuka.

So mahusiano ya pombe na mapenzi yapoje?

Sababu nishaona kuna wengine wanajutia kesho yake kwanini walikunywa, hapo ni baada ya kubanduliwa sana na kufanyiwa michezo ya hatari.

View attachment 759420
Hivi vidole nahisi ni vya Mzigua90
 
Naona vile vyenye binadamu anapiga tambo kwa kumzidi hata shetani kwa dhambi....
Yaani hata shetani hakuweza kutenda dhambi ya kulewa na kunginoka zote kwa pamoja haki...
 
Back
Top Bottom