wangu tulikutana hapa jf,first time tunakutana tulikuwa ilikuwa nikama watu waliojuana kwa miaka an it's all b'coz ya uhuru tuliokuwa nao,kuwekana wazi,mawasiliano mazuri,tulijiachia sana japo nikupitia simu ila ilifanya tukazoeana zaidi na nakurudhiana!!siku tulipoonana ana kwa ana tuliishia kutimiza wishes zetu zote na ilikuwa nisiku yakipekee kuwahi kutokea,,namshukuru mungu sasa ni mume wangu,itoshe tu kusema nampenda sana baba T