MAHUSIANO YA MBALI

MAHUSIANO YA MBALI

“Some of the toughest things in this world are to really want someone and not have them around you. Those are the times when you don’t know what to do. All you can do for is wait.”– Tamara Louis 💥
 
Distance ilifanya nikaachika. Nilikunywa bia kuanzia asubuhi hadi usiku seven days a week × two weeks ndio akili ikakaasawa. Wacha kuendekeza hiyo distant relationship. Wacha kabisa!
 
Wanazengwe wazima humu, nina swali lina nitatiza yan nakuwa najiuliza mwenyewe na kujijibu hapohapo bila kupata jibu sahihi.
haya naombeni mawazo yenu hapa, unaweza ukawa na mahusiano na mwanaume au mwanamke anayeishi nje ya nchi na hamjawahi hata kuonana zaidi ya kupigiana video call na kuchat tu?
Ingawaje huyo mwanaume au mwanamke ni mtanzania ila anaishi nje na anafanya kazi zake nje kwa wa miaka 10 hivi; na hana mwanamke huko?
utakuwa na uhakika gani kama ni wako au lah? na hamjawah kugombana mnaelewana na kupendana kweli???
Kama Westen Union & Money Gram zinasoma komaa nae
 
Kwani na yeye mwanamke ataamini vipi wewe ni wake pekee yake tu?
 
Wanazengwe wazima humu, nina swali lina nitatiza yan nakuwa najiuliza mwenyewe na kujijibu hapohapo bila kupata jibu sahihi.
haya naombeni mawazo yenu hapa, unaweza ukawa na mahusiano na mwanaume au mwanamke anayeishi nje ya nchi na hamjawahi hata kuonana zaidi ya kupigiana video call na kuchat tu?
Ingawaje huyo mwanaume au mwanamke ni mtanzania ila anaishi nje na anafanya kazi zake nje kwa wa miaka 10 hivi; na hana mwanamke huko?
utakuwa na uhakika gani kama ni wako au lah? na hamjawah kugombana mnaelewana na kupendana kweli???
Kama kweli ana lengo na wewe,
Mpe timeline mkubaliane aje lini ili mtimize malengo yenu ya kuoana la sivyo unafanya kosa kubwa kuwakataa wachumba wa huku mwisho wa siku yeye anapata familia au labda tayari anayo wewe umekitunza kinazeeka bila matumizi na siku zinaenda baadae utakuja hapa kutafuta mchumba
 
Back
Top Bottom