Mahusiano ya mapenzi yanapokoma

Ha ha ha maisha haya yanamushkel wa aina yake!
polisi mpk wanamfunga wamethibitisha hilo..?
 
Pole yake nani sasa, aliyewekwa ndani au aliyeweka ndani?
Aliyewekwa ndani nimemuonea huruma kwasababu mama Mtoto anahasira za kijinga tu haya Ndo mfano labda afungwe mtoto atamlea na nani hajafikiria hilo.

Kufanya maamuzi ukiwa na hasira sana au furaha Sana ni kosa inavoonekana
 
Ila jamaa nimemuona kalowa balaa, si unajua kijela jela tena. askari wanamwambia haya njoo hapa, hebu chuchumaa na upige magoti, Mh!
 
Huko Hapana mazingira rafiki tu ndugu ndo maana nimemuonea huruma mpaka atoke
 
Samahani mkuu,tutupie na picha yake tumuone huyo demu pliz maana dah,wakioana anafaa kuvaa shela jekundu.
 
Huyo dem inavyoonekana bado anamuhitaji msela kwahiyo anatumia hiyo njia ili kumdhoofisha jamaa bila yakujua kuwa ndio anaharibu kabisa
 
Ila jamaa nimemuona kalowa balaa, si unajua kijela jela tena. askari wanamwambia haya njoo hapa, hebu chuchumaa na upige magoti, Mh!
Uongo wa mchana. Au ni we we umetishiwa kupelekwa polisi kwa deni na kutelekeza familia sasa unatafuta legal stand!!?
 
Itakuwa ni hela ya boom alijinyima inamuuma akifikiria alijibana Jamaa kaenda kuongea manzi ingine hao ni wazazi wangeyamaliza tu
 
Ha ha ha we kenstar! demu kapanic anahitaji mchongo wake na laptop, hajui naye kapewa zawadi ya mtoto kutoka kwa jamaa
 
Mimi ningezitafuta tu nikamrudishia. Nikishamrudishia, nilizompa mimi sitothubutu kumdai, ila treatment yake hatokaa aamini
 
Ya hiyo imekaa njema, unajua hawa viumbe wanajua wao ni haki yao kupewa tu ila kutoa si haki yao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…