kwetumasoko
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 866
- 518
Mwenyewe kakomaa ni balaauzuri na wamezaa kabisa huyo dada ataenda mwenywe kufuta case polisi.
Ana hasira tu akikaa akimuangalia mwanae atashuka na atamtoaMwenyewe kakomaa ni balaa
Ye anadai alimkopesha!Vielelezo vya kuhongana kwao anavyo?
Kesi za kijinga hizo!
Utaona wenyewe watakavyokuja kwa kujibust,Walipeana wakiwa kwenye mahusiano mazur sasa mambo yameharibika anadai vya mini na boy akisema amrudishie vyake ataweza?hizo hasira tu atapoa tu kwan ana mwanae tayar
Ana akili ndogo sana, hilo deni angedai akiwa chuo dean of students angelimaliza vizur tu. Now amechelewa sana na ujizingatia hana ushahid wowoteYe anadai alimkopesha!
Ndo hivo, jamaa kalala two days lupangoAna akili ndogo sana, hilo deni angedai akiwa chuo dean of students angelimaliza vizur tu. Now amechelewa sana na ujizingatia hana ushahid wowote
Mkuu, maandishi wapi? utakumbuka maandishi wakati penzi limekolea?Inategemea kama kuna maandishi maana sheria haziendi kwa midadi.....
Hao wanajuana vizuri tu na inaelekea wana visa vikubwa kati yao.Ndo hivo, jamaa kalala two days lupango
Lakini wakumbuke kuwa mtoto anawaunganisha, hasira hasara!Hao wanajuana vizuri tu na inaelekea wana visa vikubwa kati yao.
Kuna wanawake wana visirani acha tu. Kitu kidogo anatamani hata akuue kabisa.Lakini wakumbuke kuwa mtoto anawaunganisha, hasira hasara!
Ha ha ha lakini mi najua walipeana kwa nia njema, sasa hayo ya kuwekana ndani yanatoka wapi?Huyo msela ni nyoko, kachezea kei ya binti wa watu staili zote, kamtia mimba, nakuhongwa juu?
Alafu kuna wajinga wengine deilee kulia lia humu eti mabwana zao hawawapi hela
Hakuna cha nia njema hapo mkuu, kama vipi mwana anagoma anasema hakunipa hivo vituHa ha ha lakini mi najua walipeana kwa nia njema, sasa hayo ya kuwekana ndani yanatoka wapi?
Basi asubiri biriani kwa msonga ugali......Mkuu, maandishi wapi? utakumbuka maandishi wakati penzi limekolea?