I was like... No matter what it takes i wont give up...
Coz love goes to those who believes in it...
Yupi Uyo Muhusika Mwenyewe?Ebu fanya muulize mhusika..[emoji23][emoji23][emoji23]
NishamuulizaAtakuuliza muhusika yupi Hahahahahaaaaa
Cc; mjr95 embu acha uzubavu changamka na wewe...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yupi Uyo Muhusika Mwenyewe?
Akiwa anakutumia hela kila siku, je wewe utamtumia nini kila siku?me mapenzi ya kutokuonana siwezi.. labda uwe unanitumia hela kila siku
Anaacha Kuchangamkia Fursa!Cc; mjr95 embu acha uzubavu changamka na wewe...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si UshajuaHahahahaaaa, kama nilitoa vile
Mara HiiiiNdio raha ya kujua akili ya mkeo Hahahahahaaaaa
Hahaha... Yeah nikaona ghafla hutaki kunijibu tena... Nikawaza mbinu mbadala... Nikasema ngoja atanijibu tu...