Reagan Carima
Member
- May 20, 2015
- 44
- 194
Hivi hakuna wakati wanasiasa wanaweza kuongea kama Watanzania wakaachana na vyama vyao kwanza?
Inanishangaza sana masuala nyeti kama ushirikiano wa Kimataifa watu wanayajadili kwa mtazamo mmoja wote kisa tu ni chama fulani.
Kuna mfano wa Taifa gani ambalo limewahi kupiga hatua kwa kugombana na majirani kisa tu wanajiweza?
Masuala haya kwanini yasingepewa hadhi yake na yakajadiliwa kwa hekima na busara zaidi kwa ajili ya mustakabali wa Taifa letu na vizazi vijavyo?