Mahusiano ya Kimataifa

Mahusiano ya Kimataifa

Nani analalamika we subiri Zoom press conference ya Zitto na Lissu kama ujapewa log in ID itafute; wengine tushawachoka au losers.

Regular discussion za parliamentary committee tena yenye wajumbe 71 wajumbe watano tu ndio waliojitokeza ikimbukwe wako majumbani kutokana na COVID 66 wengine waliona sio swala la muhimu.

Huku kwengine washatengeneza drama nchi iko mbioni kuwekewa vikwazo, tells you how desperate these ppl are.
Sasa mnarusha rusha miguu yanini pamoja na Waziri wenu?
 
Sikiliza mungu alivyokuwa mkubwa wanaropoka mipango yao live, huku wakidhani wamezima.

Huyo wakenya anamkumbusha Lissu yeye ndio aliomfundisha kuuliza maswali.

Ni wehu kama nyinyi ndio mnaomwamini Lissu.
 
Hovyo kabisa
Lissu karopoka kumbe kwenye mjadala kawafundisha wachangiaji maswali ya kuuliza.

Ndio mambo hayo hayo anayomtuma Amsterdam aandike huko Twitter halafu poyoyo kama wewe unashangilia.
 
Shida zimekujaa na CCM yako
CCM ndio iliyomwambia aropoke pia leo akidhani washatoka kwenye YouTube channel?

Now we know ‘Najma’ huyu dada aliekuwa moderate wa mjadala ambao ni ‘pre-meditated’ ni sehemu ya watu wanaotumiwa na mabeberu wana fungua tu mtandao wao wa siri. Ila bwana God kweli ana mbinu zake.

Time waster, laters.
 
Back
Top Bottom