Kwamba unampenda sana hilo unajua wewe. Kwamba anakupenda sana wewe hilo hujui. Anayejua ni yeye na Muumba wake. Zama zetu si kama zama za zamani. Kulazimishwa kuolewa au kuoa siku hizi si tena jambo linalojitokeza mara kwa mara. Kama ameamua kukubali atangaze uchumba angali yupamoja na wewe basi ujue wewe haumo moyoni mwake. Na si kisingizio cha kulazimishwa na wazazi. Na kabla ya yote, alishawahi kukutambulisha hata kwa wazazi wake au ndugu zake?Jamani naombeni ushauri, kuna mwanamke nampenda sana nae ananipenda sana tuliahidiana kuoana., Sasa kuna changamoto imejitokeza tena kubwa sana kumbe kabla yangu, aliunganishiwaga mwanaume mwingine na wazazi wake, nayeye kwakua alikua hana mtu mwingine alikubali.
Ikaendaa yule jamaa akakaa muda mrefu Sana bila kutangaza uchumba, yule mwanamke akakata tamaa ndio tukakutana natukaanzisha mahusiano tukaanza kupendana Sana, sasa mwezi uliopita jamaa ameibuka tena kaenda kwa wazazi na kwa mchungaji mwanamke amejaribu kukataa lakini kutokana na wazazi wake niwatata sana ameshindwa kukataa maana anadai wanamfosi kuolewa namtu ambae amesha mtoa moyoni wakati moyo wake upo kwangu, na uchumba unatangazwa jumapili hii.
Ameniambia anatangaza uchumba lakini kuolewa hataolewa yupo tayari kutoroka na mimi,, sasa nimejikuta napitia maumivu makali Sana maana nampenda sana naombeni ushauri wadau
Daaaah!!!! Uko wapi.....Jamani naombeni ushauri, kuna mwanamke nampenda sana nae ananipenda sana tuliahidiana kuoana., Sasa kuna changamoto imejitokeza tena kubwa sana kumbe kabla yangu, aliunganishiwaga mwanaume mwingine na wazazi wake, nayeye kwakua alikua hana mtu mwingine alikubali.
Ikaendaa yule jamaa akakaa muda mrefu Sana bila kutangaza uchumba, yule mwanamke akakata tamaa ndio tukakutana natukaanzisha mahusiano tukaanza kupendana Sana, sasa mwezi uliopita jamaa ameibuka tena kaenda kwa wazazi na kwa mchungaji mwanamke amejaribu kukataa lakini kutokana na wazazi wake niwatata sana ameshindwa kukataa maana anadai wanamfosi kuolewa namtu ambae amesha mtoa moyoni wakati moyo wake upo kwangu, na uchumba unatangazwa jumapili hii.
Ameniambia anatangaza uchumba lakini kuolewa hataolewa yupo tayari kutoroka na mimi,, sasa nimejikuta napitia maumivu makali Sana maana nampenda sana naombeni ushauri wadau
Hupendwi au jamaa kakuzidi pesa..!Ameniambia anatangaza uchumba lakini kuolewa hataolewa
Mrudishie kwanza moyo wake halafu jaribu kwenda kwaomoyo wake upo kwangu
Mimi mwenyewe natweswa kinouma, kuna ushauri gani naweza mpa zaidi ya kumwambia anyetuke🤣🤣🤣🤣🤣
Nashangaa anapata wapi muda wa kugombania mwanamke wakati wapo wengi hao.Mimi mwenyewe natweswa kinouma, kuna ushauri gani naweza mpa zaidi ya kumwambia anyetuke🤣🤣🤣🤣🤣
Wapo wengi mkuu ila jini likujualo halikuli likakwisha.Nashangaa anapata wapi muda wa kugombania mwanamke wakati wapo wengi hao.
Aisee Kuna watu Wana busara mpKwamba unampenda sana hilo unajua wewe. Kwamba anakupenda sana wewe hilo hujui. Anayejua ni yeye na Muumba wake. Zama zetu si kama zama za zamani. Kulazimishwa kuolewa au kuoa siku hizi si tena jambo linalojitokeza mara kwa mara. Kama ameamua kukubali atangaze uchumba angali yupamoja na wewe basi ujue wewe haumo moyoni mwake. Na si kisingizio cha kulazimishwa na wazazi. Na kabla ya yote, alishawahi kukutambulisha hata kwa wazazi wake au ndugu zake?
Ningekushauri ukae na kujiuliza mara mbili. Utajidanganya mwenyewe...... Tafuta akufaae.
Aisee Kuna watu Wana busara mpaka zinamwagikaKwamba unampenda sana hilo unajua wewe. Kwamba anakupenda sana wewe hilo hujui. Anayejua ni yeye na Muumba wake. Zama zetu si kama zama za zamani. Kulazimishwa kuolewa au kuoa siku hizi si tena jambo linalojitokeza mara kwa mara. Kama ameamua kukubali atangaze uchumba angali yupamoja na wewe basi ujue wewe haumo moyoni mwake. Na si kisingizio cha kulazimishwa na wazazi. Na kabla ya yote, alishawahi kukutambulisha hata kwa wazazi wake au ndugu zake?
Ningekushauri ukae na kujiuliza mara mbili. Utajidanganya mwenyewe...... Tafuta akufaae.
Lakini zama zimebadilika mkuu ila muache apambanie penzi lake.Wapo wengi mkuu ila jini likujualo halikuli likakwisha.
Kakuona fala sana huyo demu.Jamani naombeni ushauri, kuna mwanamke nampenda sana nae ananipenda sana tuliahidiana kuoana., Sasa kuna changamoto imejitokeza tena kubwa sana kumbe kabla yangu, aliunganishiwaga mwanaume mwingine na wazazi wake, nayeye kwakua alikua hana mtu mwingine alikubali.
Ikaendaa yule jamaa akakaa muda mrefu Sana bila kutangaza uchumba, yule mwanamke akakata tamaa ndio tukakutana natukaanzisha mahusiano tukaanza kupendana Sana, sasa mwezi uliopita jamaa ameibuka tena kaenda kwa wazazi na kwa mchungaji mwanamke amejaribu kukataa lakini kutokana na wazazi wake niwatata sana ameshindwa kukataa maana anadai wanamfosi kuolewa namtu ambae amesha mtoa moyoni wakati moyo wake upo kwangu, na uchumba unatangazwa jumapili hii.
Ameniambia anatangaza uchumba lakini kuolewa hataolewa yupo tayari kutoroka na mimi,, sasa nimejikuta napitia maumivu makali Sana maana nampenda sana naombeni ushauri wadau
Siku nikija kulia jf kisa mapenzi...kiongozi naomba ushauri wako uwepo kwenye commentMwanamke hajalazimishwa na wazazi mzee ila anampenda huyo jamaa ila hawezi kukutamkia moja kwa moja pengine anaogopa kukupa jibu litakalo kuumiza.
Ikishafika hatua hiyo cha kwanza fungua moyo na usilazimishe chochote kinachotakiwa ni kumwambia achague moja yupo na wewe au anaenda kwa jamaa na jibu lolote ulipokee kiroho safi akienda kwa mwana mtakie maisha mema na uendelee na maisha yako kiroho safi.
Epuka sana kujidhalilisha na kujitoa thamani kwa kulazimisha mtu akuone bora wakati yuko mtu bora kwake zaidi yako.