Mahusiano sio rahisi hivyo

Mahusiano sio rahisi hivyo

Ni mkubwa kabisa wa kuwa mke mtu na waotot kadhaa

Alinisumbua mara ananiambia tuachane nimeamua kuMtumikia Mungu mara sina mpango wa kuoa mpk baada ya miaka 5 mara bla blaa unatuma sms hakujibu hta mwezi mzima so ni kama nilikuwa mwenyewe kwenye mahusiano
Bado ujanjibu umri

Huyo alikuwa hakupendi
 
https://www.jamiiforums.com/threads/nifanye-nini-kaka-yangu-hamtaki-mchumba-wangu.2139149/ na sasa unasema unamshukuru mungu kila ukiacha huwezi kaa bila mahusiano muda mrefu ? Na kama wewe u timamu unadhani kaka yako hakuzui wewe kuwa na yule kaka yako bali ni hataki wewe uwe na ukaribu na watu au marafiki zake wa karibu, kutokana na tabia zako?

Mwisho: Sidhani kama wewe ni mwanamke kibailojia.

Naona unachukua vitu vidogo vidogo unajazia nyama

Kama ungekuwa mwalimu basi ningesema ni wale walimu wanoko ambao akiingia darasani kuna mwanafunzi wake lazima amuadhibu hata kama hakufanya kosa

Btw mimi ni mdada kibailojia
 
Mhhhhhh.....
Mbona kama ulisha piga hatua 3 mbele, na kisha ukarudi hatua 5 zingine nyuma...[emoji848]
Ama mimi ndio sihaelewa...[emoji847]

Kumpata anaekupenda ni ngumu hivyo nimempata anaenipenda na mimi najitahidi kumpendaa
 
Naona unachukua vitu vidogo vidogo unajazia nyama

Kama ungekuwa mwalimu basi ningesema ni wale walimu wanoko ambao akiingia darasani kuna mwanafunzi wake lazima amuadhibu hata kama hakufanya kosa

Btw mimi ni mdada kibailojia
Sawa.
 
Back
Top Bottom