Mahusiano serious(Mume)

Mahusiano serious(Mume)

Pia saivi muwe mnaweka na picha kidogo tuwe tunajua nani tunaenda kumface..
 
ni ulevi upi ?? kuna wanaume walevi wa ZINAA!!.....faragua usemi wako.......
 
Nahitaji mwanaume alie serious kuanzisha mahusiano na badae kuwa mume na mke. Sifa zangu
-umri 32
-Mkristo
-Sina mtoto
-Nimeajiriwa Government
-Elimu Postgraduate

Sifa za mwanaume awe na
-Umri 34-48
-Asiwe na mke
-Awe anaejishughulisha ameajiriwa au kujiajiri
-Asiwe mlevi
Mawasiliano yko plz
 
Shida kubwa ya wanawake mliosoma ni pasua kichwa Sana
 
Nahitaji mwanaume alie serious kuanzisha mahusiano na badae kuwa mume na mke. Sifa zangu
-umri 32
-Mkristo
-Sina mtoto
-Nimeajiriwa Government
-Elimu Postgraduate

Sifa za mwanaume awe na
-Umri 34-48
-Asiwe na mke
-Awe anaejishughulisha ameajiriwa au kujiajiri
-Asiwe mlevi
Njoo PM tuyajenge
 
𝕦𝕞𝕣𝕚 𝕦𝕝𝕚𝕠𝕦𝕡𝕒𝕟𝕘𝕒 𝕨𝕖𝕨𝕖 𝕟𝕚 𝕞𝕜𝕦𝕓𝕨𝕒 𝕤𝕒𝕟𝕒, 𝕟𝕚𝕡𝕠 𝕦𝕟𝕕𝕖𝕣 𝕥𝕙𝕒𝕥 𝕒𝕘𝕖,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom