Leo unamuta paka mwitu[emoji23][emoji23]Hao jamaa sio wa kuwaletea love dramas⦠wallah ukijaribu ni hamna rangi utaacha kuona.
Sitaki kumkumbuka yule paka mwitu, woii
We Jamaa muongo sana, Wazungu ndoa wengi wao wanataka muwekeane masharti mahusiano siyo ishu yanavunjika muda wowoteUsije ukajiongopea ku date na mzungu akupende ajitolee mda wake halafu baadae useme unam-dump, kama una mali umefilisika.
Hawa sio kama Wabongo ambao tunaamka asubuhi unamwambia kuanzia leo mi na wewe tusijuane, anakaa kwenye pembe ya kitanda analia na kupenga makamasi anasema Mungu atanilipia halafu inakuwa imeisha hiyooo.
Wazungu ukimwambia kuachana, basi safari yako ya depression imeanzia hapo na uchumi kuyumba au kufa kabisa ndio mwanzo wake.
Kwanza hawakubaligi mahusiano ya kumficha kama chawa kisha anakufanyia matendo ya uungwana mbele ya jamaa na marafiki pia lazima kuna mambo atataka yawe kimaandishi.
Siku umezingua kaka, namba utaisoma!!!
Hawa wakwetu si wanatishiaga kuloga, wazungu anakuletea mwanasheria mnafanya analysis mpaka ya muda uliompotezea. Kiufupi ni hasara tupu na hutokaa usahau.
Naomba wakwetu wasije wakafikia huko tutateseka kishenzi!!
Kama alifall na viatu vyake? Wallah hayavunjiki kirahisiβ¦We Jamaa muongo sana, Wazungu ndoa wengi wao wanataka muwekeane masharti mahusiano siyo ishu yanavunjika muda wowote
Acha uoga yanavunjika tu, Tena wao ni simple kwasababu mahusiano yao mengi huwa hakuna ahadi za ndoa kama huku Tz, Binti ukiwanae kwenye mahusiano mwezi tu anataka kujifanya ndiye mke mtarajiwaKama alifall na viatu vyake? Wallah hayavunjiki kirahisiβ¦
Yule jamaaa ni anastahili majina yote mabaya.Leo unamuta paka mwitu[emoji23][emoji23]
Mzungu alijua kukuchachafya[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
It dependsAcha uoga yanavunjika tu, Tena wao ni simple kwasababu mahusiano yao mengi huwa hakuna ahadi za ndoa kama huku Tz, Binti ukiwanae kwenye mahusiano mwezi tu anataka kujifanya ndiye mke mtarajiwa
Ilikuwaje....!!!Hao jamaa sio wa kuwaletea love dramas⦠wallah ukijaribu ni hamna rangi utaacha kuona.
Sitaki kumkumbuka yule paka mwitu, woii
Alikuomba nini mkuu fungukaYule jamaaa ni anastahili majina yote mabaya.
Alijua kunikomesha.. Warda? Eeh sitaki kukumbuka ule mwaka πππ
Bora hata ungenikubali tu mie miaka ileee...πYule jamaaa ni anastahili majina yote mabaya.
Alijua kunikomesha.. Warda? Eeh sitaki kukumbuka ule mwaka πππ
Hapa ndipo ninapo wakubali wabongo wallah...π€£Alikuomba nini mkuu funguka
Sheria zinaruhusu ndio maana wanawake wa mabilionea wanazimalizia kesi za taraka UK maana wana uhakika wa kuondoka na ukwasi wa maanaUsije ukajiongopea ku date na mzungu akupende ajitolee mda wake halafu baadae useme unam-dump, kama una mali umefilisika.