Watakupenda na wewe baada ya kumtafuna ukionyesha upendo.
sema kama unamuona hafai tafuna tu upite maana kama ma slay queen watakusumbua baadae.
Wa kukupenda atapenda Attitude zako maana kila mwanammke anapenda mwanaume asie na shobo.. na kwa tabia utakayo muonesha utakua kama mtu asie na shobo na wanawake, ukijumlisha na upendo ndo kabisa hakuachi