Mahusiano na wadada/ warembo wa chuo..

Alinambia nimfanye chochote nitakacho asipo nilipa pesa yangu so lazima nimuomyeshe kwamba mi ni mwanaume
Don bother bro atakuona maskini sana cha kufanya tafuta demu mkali zaid yake apo apo chuoni kwake alafu kodi premio uibuke pale pale uzuge nae sana. Utakuta miss call kama 50 ivi
 
Don bother bro atakuona maskini sana cha kufanya tafuta demu mkali zaid yake apo apo chuoni kwake alafu kodi premio uibuke pale pale uzuge nae sana. Utakuta miss call kama 50 ivi
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Clue no.1: Ujue kuigiza maisha tu bro, act kama bro ambaye una kitengo mjini na pesa nyingi.

Clue no.2: Kuwa mtanashati na kumiliki ndinga its added advantage.

Ukishindwa hayo mawili utapata tabu sana!!! Mitoso yakeee....
Asante saaaana mkuuu...naanza kuyafanyia kazi.
 
Clue no.1: Ujue kuigiza maisha tu bro, act kama bro ambaye una kitengo mjini na pesa nyingi.

Clue no.2: Kuwa mtanashati na kumiliki ndinga its added advantage.

Ukishindwa hayo mawili utapata tabu sana!!! Mitoso yakeee....
Yote hayo kisa tu kutega papuchi

Aiseee
 
kama kuna tabia nisiyopenda kwa wadada hasa wanachuo ni kupigwa mizinga yaan mkikutana cafe lazima upigwe mzinga wa soda au chips na mshikaki,
 
Na unahisi kwa hizo mbwembe za ufekero nitatoa kitumbua kwa urahisi hivyoo??

No
Hahah sasa akija na pigo za mchonga miwa ndio kwamba utamkubali kirahisi au sio?
 
Kwa uzi wako inaonesha dhahiri we ni mtu wa namna gani 30 tu mzee unavyolalamika mambo mengine kama mwanaume huwa tunakausha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…