Si umeona sasa? Woga wa nini sasa?nitapima kwa malengo, nipime na wewe kisa nini?...enzi zangu mie condom alikuwa frnd wangu wa karibu sana, ckuwahi kukiduana bila kinga so ningekufa kivingine, kwasasa hofu yangu ni hiyo ya kuletewa hii kitu ndani kama vile mnaona kuna ulazima wa kukiduana huko nje.
Hahahaha!haaaaaa, haya bwana! nitaweza kusamehe/sahau na kuendelea na lyfe lakini na yeye hatanisahau na akifikiria kuvua kufuli huko nje tena atahic kama mama kibuyu nipo pembeni namchungulia, nitaharibu nitaharibu.
Si umeona sasa? Woga wa nini sasa?
Na hao tunaowakidua nao ni marafiki wa kondom kama ulivokuwa wewe, so ondoa woga. We play it safe mama!
Ina maana sisi ndio hatuogopi ngoma au? Tutake radhi!!!haaa wapi, ni wachache sana! mkishawashawishi kidogo ohh kondom inanichubua/inanibana cjui nini na nini bac wameshawishika, nilikuwa nawaambia kama unaona condom inakubana we vaa hata lailoni la mkate ili mradi ucweke kavu kavu, maisha yenyewe haya matamu/mafupi nije nijifie kizembe?
nilikuwa nawaambia kama unaona condom inakubana we vaa hata lailoni la mkate ili mradi ucweke kavu kavu, maisha yenyewe haya matamu/mafupi nije nijifie kizembe?
Ina maana sisi ndio hatuogopi ngoma au? Tutake radhi!!!
Otherwise you have made my day. Nimecheka mpaka nimesikia kiu.
Ngoja nikaitii kiu yangu. Ubarikiwe mamaa nyamayao.
Hii style nilienda niliitumia kijiji kimoja nilienda vekesheni nilitafuta zana kijiji kizima nilikosa nikatuma mtu kwa dau aende vijiji vingine akakosa,
Nilikuwa na rambo laini nikawa naitumia hiyo hiyo nikimaliza nakung'uta nasikilizia mzuka ukipanda game linaendelea mpaka machweo.
Ni kweli usemayo SMU so nadhani tungekuwa na utaratibu wa kukubaliana kabla ya ndoa kuwa ni condom kwa kwenda mbele hadi pale tutakapohitaji mtoto (ambapo tunatakiwa tukapime kwanza) then after ni condomize yaani tuifanye kama utaratibu wa kawaida??Katika maana ya kuzuia VVU, nadhani suala la condom kwenye ndoa ni gumu. Linawezekana katika situation ambayo wapendanao kabla ya kuoana/kujamiiana wamepima VVU wote ama mmoja wao kuwa na VVU na kwa kujali mapenzi yao, wakaamua kuingia kwenye ndoa ragardless ya status. Hapo inakuwa rahisi sana kuammua kutumia condom. Lakini kwa ndoa ambayo tayari imeshadumu bila condom sioni ni vipi mtaanza kutumia condom kwa hisia tu tu kutoambukizana VVU.
And that make married at more risk since they cant abstain: Should we stay single and abstain forever? Is it possible?condom sio solution ya kutegemewa!!
kama uko serious kujikinga na ukimwi abstain.
oNi kweli usemayo SMU so nadhani tungekuwa na utaratibu wa kukubaliana kabla ya ndoa kuwa ni condom kwa kwenda mbele hadi pale tutakapohitaji mtoto (ambapo tunatakiwa tukapime kwanza) then after ni condomize yaani tuifanye kama utaratibu wa kawaida??
Na hapa ndipo tunapoambiwa tuwe na utaratibu wa kuvaa zile za kike- Care lol maana kama yeye ni ngumu kuvaa basi uvae wewe. Ah hii kitu ni ngumu kwa kweli hivi Tacaids wameshafikiria kufanya study juu ya hii - matumizi ya condom ndoani na challenges zake? au wanaishia kutuhesabia tu macontainer ya condom yaliyoingizwa na kutumika??o
hii kitu kwa wanandoa ni ngumu, wakati mwingine limerudi huko na mapombe yake likija ni linakuvamia tu ili mradi akidhi hitaji lake, kuna vijimambo vinafanya hii ktu iwe ngumu kuifanya.
Nikichanganya na kuikumbuka ile taarabu ya kikwere ya jana......... I better stay drunk!
Hivi raisi wenu kasema nini jana? manake naona wote mnahasira...Hahahaha!
Mtu mzima hatishiwi nyau! Zile zile hadithi za mbayuwayu wa rais wako!
Ni kweli usemayo SMU so nadhani tungekuwa na utaratibu wa kukubaliana kabla ya ndoa kuwa ni condom kwa kwenda mbele hadi pale tutakapohitaji mtoto (ambapo tunatakiwa tukapime kwanza) then after ni condomize yaani tuifanye kama utaratibu wa kawaida??
Na hapa ndipo tunapoambiwa tuwe na utaratibu wa kuvaa zile za kike- Care lol maana kama yeye ni ngumu kuvaa basi uvae wewe. Ah hii kitu ni ngumu kwa kweli hivi Tacaids wameshafikiria kufanya study juu ya hii - matumizi ya condom ndoani na challenges zake? au wanaishia kutuhesabia tu macontainer ya condom yaliyoingizwa na kutumika??
Hivi raisi wenu kasema nini jana? manake naona wote mnahasira...
Kwa sasa hili linawezekana katika ulimwengu wa kufikirika tu!
Suala la condom should be taken a bit more wider! Na hizi 'inventions' zote za wapendanao.....mara 'chumvini'.....mara 'cone' etc tutahija zaidi ya aina zaidi ya tatu kwa uchache! Wangapi wanajikagua vidole kama havina michubuko (hata kama midogo vipi!) kabla ya shughuli?.....na vp vinywa? Wote hawa wanavaa condom kule chini lakini huku kwengine they dont even care!
Usagaji nalo neno- so far studies zilizofanyika zimeangalia tu HIV transmission kati ya heterosexuals na wale Men having sex with men (ukiachilia mbali drug users) sijasikia lolote juu ya wasagaji- to what extend and how wanawezakuambukizana- mwenye information naomba anijuze!nahisi hawa single wana-points kuliko hao marriage uki-connect na hizo issues za mashoga! Vipi usagaji je? Au hapa bongo hakuna?