Mahusiano na uchumi

Mahusiano na uchumi

mlagilamakawao

Senior Member
Joined
Feb 22, 2017
Posts
189
Reaction score
120
Wana JF habarini ya Jumapili kwanza,

Niende moja kwa moja kwenye mada..

Je mwanaume kuwa na mahusiano na mwanamke au kuingia kwenye ndoa inaweza kuathiri uchumi wako kuyumba?

Karibuni kwa mchango wenu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saaana tu hasa ukikutana na mtu ambae hana changamoto zozote kimaisha na asiye na msimamo leo anataka hiv kesho vile taaabu,ni shida kubwa!
 
Back
Top Bottom