Mahusiano na Siasa

M'Jr

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,711
2,000
Kwa sasa kuna Habari zinatrend Za mmoja wa wabunge wanawake kuachana na mume wake (kutalikiwa) na sasa kulazimika kubadilisha majina yake kwani kama tujuavyo wengi wa wanawake wanapoolewa hupenda kubadilisha jina la pili ili kujiassociate na familia ambako ameolewa.

Sasa kwenye suala hili uhalisia ni kwamba ni vigumu sana kwa wanasiasa wanawake wenye umri wa chini ya miaka 40 ambao kwa bahati wanafikia level ya ubunge na kuendelea kubaki kwenye ndoa zao. Hii inasababishwa na mambo mengi sana yakiwemo;
1. Namna ambayo wanakuwa wamepanda na kufikia hapo (wengi hupanda kwa njia zisizo halali)
2. Mazingira ya maisha ya ki bunge na kichama
3. Hulka ya kibinadamu na hasa ya kike

Wengi wa wanasiasa vijana hasa wa kike hupanda kufikia level ya juu ya siasa kwa hisani ya watu ambao nao huwatumia. Hii haikomi Kwani hata pale wanapofanikiwa hujihisi kuwa na deni na watu hao hivyo kuendeleza kile walichokianzisha. Sasa wanapofika bungeni hukutana na wengine ambao huwajaza ujinga kwamba kama wanataka kuendelea kuwa wabunge basi wao watawasaidia.

Mazingira ya maisha ya nje ya bunge ni kama wanafunzi wa darasa moja nje ya darasa (wote huwa na akili Sawa bila kujali umri, cheo na) Sasa kule ngono is a fun thing wala sio kitu serious so wanafanya sana. Akienda leo mbunge mpya wa kike wana bet Nani atakuwa wa kwanza kulala naye (haijalishi ni Mke wa mtu ama la). Sasa hawa wabunge wapya pia wanakuwa wameingia kwenye ulimwengu mpya na wengi wao wanakutana na watu ambao walikuwa wanawasikia tu na wengine maybe ni mawaziri so ni rahisi na sometimes they feel good kwamba nimetoka na waziri Fulani au Fulani.

Sasa kule kuna vikao vingi sana so it’s possible mtu akawa busy jumatatu mpaka jumapili na akaunganisha na vikao visivyo rasmi na kila siku akarudi nyumbani saa 6 usiku. Lakini kamwe usidanganywe eti mtu yuko busy anasoma muswada or whatever, hawasomi unless awe anachangia.

Sasa kuwa mbunge ni prestige na kipato kikubwa, sasa wengi wakishaingia huwa hawataki hata idea ya kusikia kwamba hawatakuwa wabunge next term. Hii huwafanya kutafuta connections na network na watu ambao mwisho wa siku huishia kuwatumia.

Hulka ya kibinadamu ni kuwa na dharau anapopata, mshahara wa mbunge na marupurupu yake ni mkubwa kuliko wa mkurugenzi yoyote wa mashirika Haya so it’s logical kwamba all of a sudden mwanamke hujikuta ana kipato kikubwa kuliko mumewe, anatongozwa na watu 10 kwa siku na wote wanamwambia ye mzuri so definitely atamuona mumewe kama kinyago.

So sababu zote hizi huwa zinapelekea ndoa zao nyingi kuvunjika, unaweza ukaangalia wabunge wengi wanawake walio kwenye umri wa chini ya miaka 40 au juu kidogo ndoa zao zimekufa as soon as wamekuwa wabunge au nyingine ziko kwenye hali mbaya ila wanaficha na chache sana ambazo zinahitaji mwanamke smart ziko salama


Sent using JamiiForums For iPhone App
 

sabosabo

JF-Expert Member
Dec 16, 2012
2,062
2,000
Upo sahihi sana Mkuu

Ukiwa na mkeo kule mjengoni halafu awe binti kijana mzuri mzuri,lazima vigogo wa mule wakusaidie,hayo yanatokea sana,hata huyo Mhe. aliyeachana na mumewe inasemekana pamoja na mambo mengine kilichosababisha ni hicho,kuna Mhe. Waziri alikua anapumzika pale!

Pia ukiachana na mjengoni pia watumishi wa umma waliohamia Dodoma wengi wameacha waume zao Dar,nao hao vijana wanawasaidia sana,tunajipigia tu huku kuwapunguza viraru;
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom