MAHUSIANO NA NDUGU BAADA YA NDOA"

MAHUSIANO NA NDUGU BAADA YA NDOA"

CHIBA One

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2018
Posts
558
Reaction score
2,100
Katika maisha Haya Ya Mahusiano, Nimejaribu Sana kwa Muda Mwingi Kuchunguza Swala La *Mahusiano ya Mume na ndugu zake Baada Ya ndoa*

Na, Mahusiano ya Mke na ndugu zake Baada ya ndoa.
Kitu Nilichokiona ni Kwamba Kwa kiwango kikubwa sana Mahusiano ya Mke na ndugu zake huimarika zaidi kuliko Mume.

MUME hujisahau na kugeuza akili yake yote kwa Ndugu wa mke (Bahati mbaya Mke akimtawala kazi inakuwa imekwisha kabisa) Utasikia mke akisema " Baba nanihii Yaani Mama analalamika tumemsusa sijui tumnunulie zawadi gani? Hapa husikii Mke akitaja Mahitaji ya Mama mkwe wake... Ila always ni Mama yake

Mama Mkwe anataka pesa za banda la kuku, Mama mzazi anaomba Pesa ya shamba Anapigwa kalenda Mama mkwe anatumiwa baada ya nusu saa.

Mke akiona unajali sana Nguguzo utaona tu Facial expresaion anavyorespond ukimshirikisha Ya upande wako.

Wanawake wengi ni Selfish( Sisemi wote) Ila wengi wanapenda Wafikiriwe wao kwanza kwa kila Jambo.

Katika uzoefu wangu wa Ndoa unakuta Mke anataja "Yaani Mama ukimpa kitu fulani anafurahi huyooo" Yaani mdogo wangu Akija patachangamka hapa" Baba yangu hivi na hivi"

Kwangu Niliyaona Haya mapema Nikazuia huo ujinga sababu Niliona Hata ndugu wakitaka kukata Mguu kuja kunisalimia.

Wanaume tuweni Makini Sana Hapo,!!
 
Na wewe mwanaume unayesahau kwenu au kumsahau mama yako mzazi aliekulea kwa shida na taabu had leo kuna mwanamke anaona fahar kujiita mkeo ujue hauko vizur kichwani labda limbwata linafanya kazi yake.
Shogaangu kuna wanawake maibilisi balaa,.wanajua kuwamba ngoma upande wa kwao tuu,.na mume akiwa wa "hewala mama" baaaasiii kushyneii
 
Katika maisha Haya Ya Mahusiano, Nimejaribu Sana kwa Muda Mwingi Kuchunguza Swala La *Mahusiano ya Mume na ndugu zake Baada Ya ndoa*

Na, Mahusiano ya Mke na ndugu zake Baada ya ndoa.
Kitu Nilichokiona ni Kwamba Kwa kiwango kikubwa sana Mahusiano ya Mke na ndugu zake huimarika zaidi kuliko Mume.

MUME hujisahau na kugeuza akili yake yote kwa Ndugu wa mke (Bahati mbaya Mke akimtawala kazi inakuwa imekwisha kabisa) Utasikia mke akisema " Baba nanihii Yaani Mama analalamika tumemsusa sijui tumnunulie zawadi gani? Hapa husikii Mke akitaja Mahitaji ya Mama mkwe wake... Ila always ni Mama yake

Mama Mkwe anataka pesa za banda la kuku, Mama mzazi anaomba Pesa ya shamba Anapigwa kalenda Mama mkwe anatumiwa baada ya nusu saa.

Mke akiona unajali sana Nguguzo utaona tu Facial expresaion anavyorespond ukimshirikisha Ya upande wako.

Wanawake wengi ni Selfish( Sisemi wote) Ila wengi wanapenda Wafikiriwe wao kwanza kwa kila Jambo.

Katika uzoefu wangu wa Ndoa unakuta Mke anataja "Yaani Mama ukimpa kitu fulani anafurahi huyooo" Yaani mdogo wangu Akija patachangamka hapa" Baba yangu hivi na hivi"

Kwangu Niliyaona Haya mapema Nikazuia huo ujinga sababu Niliona Hata ndugu wakitaka kukata Mguu kuja kunisalimia.

Wanaume tuweni Makini Sana Hapo,!!
Umeona mbali mzee
 
Acha kabisa kiumbe anayeitwa mwanamke. Muone hivi hivi tu aisee.
 
Somo, labda awe kampa mumewe limbwata mana sio kwa ugoigoi huu, ndio mana wana shauriwa wanapotafta wenza wa maisha watafte wenye hofu na Mungu , upo lakini
Shogaangu kuna wanawake maibilisi balaa,.wanajua kuwamba ngoma upande wa kwao tuu,.na mume akiwa wa "hewala mama" baaaasiii kushyneii
 
Somo, labda awe kampa mumewe limbwata mana sio kwa ugoigoi huu, ndio mana wana shauriwa wanapotafta wenza wa maisha watafte wenye hofu na Mungu , upo lakini
Nipo nyonyo wangu,.nakuham tuu,.em niambie ushanletea somo angu mdogo???😍😍
 
Back
Top Bottom