Wanajeshi ni kama wamedata hivi bila kutumia nguvu zako binafsi kupigania penzi utaona kama wazinguaji flani hivi,ila kimsingi ktk hiyo sector ni kama wanahitaji kushikiliwa zaidi ya maamuzi yao,ukifanikiwa hapo ni watu safi sana.
Kiboko ya njia ni polisi,hawa si tu malaya,ni wajuaji pia.ukitaka kuamini hili,kwanza ni vigumu wao kwa wao kuona,lakini pia ndoa za polisi wa kike hazidumu,wakati huo za polisi wa kiume nyingi ziko taabani.