Mahusiano na mawasiliano

Anakuwa free tu siku anazohitaji mkagegedane. Siku hiyo kuanzia Saa 12 utatumiwa texts tamu tamu Hahahaha, Mungu atusaidie

Utasikia upo wapi,rudi nyumban sasa hivi. Aseeeh,ukiangalia wewe ulipiga simu siku mbili zilizopita majibu yakawa 'ntakupigia'.
 
Utasikia upo wapi,rudi nyumban sasa hivi. Aseeeh,ukiangalia wewe ulipiga simu siku mbili zilizopita majibu yakawa 'ntakupigia'.
Au mwingine hadi umtafute ndo anakujibu "Nipo busy". Sasa unajiuliza hivi nisingemtafuta angesema saa ngapi kuwa yupo busy? Au kwa nini asitafute yeye mwenyewe muda ndo aseme kuwa yupi busy? Muda wa kunijibu upo busy unao, ila hadi nikutafute. Na hapo unamuona tu online anaingia na kutoka. mmmmmh mulika mwizi
 

Hiyo ya Online ndio ina hatari zaidi..yaani mtu unaona kabisa text imesomwa 'One minute ago' unasubiri majibu siku nzima,unamuona anaingia online na kutoka ya kwako haijibiwi,ukipiga unaambiwa 'nipo Kikaoni nipigie baadae'..
 
Hiyo ya Online ndio ina hatari zaidi..yaani mtu unaona kabisa text imesomwa 'One minute ago' unasubiri majibu siku nzima,unamuona anaingia online na kutoka ya kwako haijibiwi,ukipiga unaambiwa 'nipo Kikaoni nipigie baadae'..
Hahaha yani kuna muda tunajifanyaga hatujui kusoma majira ya nukta teh. Unakuta mtu bado upo tu
 
Mi niko tofauti kidogo, mapenzi hutoka moyoni. Kupitisha siku 2 mbili bila mawasiliano haina mana kama humpendi mwenza wako.Inategemea umetingwa na shughuli gan kwa wakti huo. Lakin tujiulize swali, hiv miaka ya 2000 kurudi zilikuwa hazijachanganya, watu waliokua wanaishi sehem tofauti walikua hawapendani. Wengi waliwasiliana kwa barua, na barua hazikutumwa kila siku. Sasa nyie kila siku mnataka mpigiane kwa maongezi gani?
 

Mwe jamani..una cope kulingana na mazingira. Mawasiliano yamerahisishwa huwezi kulinganisha..

Halafu vya kuongea ni vingi,hata kama ni mara moja kwa siku kujua mwenzio ameamkaje na ratiba yake ya siku inatosha. Ni muhimu,japo sio lazima.
 
nyieeee ukidate na hawa wenzetu wa rangi tofauti ambaye ana jazi zake rasmi tu anafanya mahali utalia machozi wako very strict na muda , kama nikupiga hupiga once per day akikuaga ni byee baby i will call you tomorrow if i wont be too busy, akiwa ametoka kazin kachoka sana hakupigii aisee, yaan style yetu yakujaliana kwa sms kila saa sahau, zikipita siku mbili hajakutafuta roho inakupasuka unaumia akikutafuta yuko serious i was so busy working baby i miss you a lot ewwwhhh jaman hawa watu mahaba niue utayapata kwa dakik chache tu jaman akiwepo

sisi waafrica kila kitu chetu ni tofauti aisee nlipataga shida sana mmmmh
 

Huyo ni wako!
Wengine wako tofauti mbona?
 
mi huwa nampigia kila baada ya masaa 6 that's 4 time per day,

na nimeweka automatic message sending
:kumjulia hali ameamkaje,
:kumtakia mchana mwema,
:kumtakia jioni njema,
:na kumtakia usiku mwema.
 

Mnanso katika ubora wake, kamateka mamtoto.... Ujenge mahusiano ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…