nyie wanawake/wadada kupigiwa simu sana na mwanaume/mchumba haimaanish et anakupenda sana na kutopigiwa haimaanish hakupend sana.
kuwa makin na mwanaume anaepiga sana simu,,,,wengine akiwasiliana na mchepuko ile kabla hajaingia kwenye mechi anakupigia mnaongea dk kadhaa anakuaga anaingia kwa mchepuko,akitoka hapo atazuga kwa kukupigia tena!!
binafsi siku nikimpigia sana simu mpenz wangu basi ndo siku ntakayochepuka,sasa ili kumchanganya na kumtoa focus nampigia simu za hapa na pale....
kueni makin ooohhooo