Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,092
- 2,923
Inahitaji akili kubwa thsana mkuu, thanks bro
Wewe angalia moyo wako kama unaridhia hilo bila kinyongo, kama unahisi hofu moyoni mpotezee utakuja jutia maamuzi yako huko mbeleni.
Acha upoyoyo hapo gonga sepa kuoa mwanamke aliyezaa ni kosa kubwa sana,anzisha familia yako fresh,utaendaje kulea toto mwanaume mwingineHabari wakuu poleni ni mihangaiko ya kutafuta ridhiki ya kila mtu naenda kwenye lengo la mada kuna msichana mmoja wakati tuko Olevel alikuwa ni mchumba wangu sasa matokeo ya advance yakatutenganisha kwa miaka kama miwili hivi sasa majuzi nimekutana nae kawa mzuri balaa aisee nikaomba contact ile namuuliza mapenzi yetu yanaendelea kwa season mpya akasema ndio ila mimi sasa hivi nina mtoto nimezaa na mt mwingine aisee yaani niko in dillema ushauri tafadhari wapendwa.
Ndo hapo sasa...alafu single mother weng wapo desperate wanagawa sana nyapu..Acha upoyoyo hapo gonga sepa kuoa mwanamke aliyezaa ni kosa kubwa sana,anzisha familia yako fresh,utaendaje kulea toto mwanaume mwingine
Acha upoyoyo hapo gonga sepa kuoa mwanamke aliyezaa ni kosa kubwa sana,anzisha familia yako fresh,utaendaje kulea toto mwanaume mwingine
Una roho mbaya kichizi.Acha upoyoyo ww..hapo piga sepa, huyo kashapoteza dira atakuletea majanga tu