Sio broken tuuu ni chronic case ya DAMAGED SELF ESTEEM,! Yaani ukae na uozo kwa kuogopa wote wameoza?Another broken hearted victim
Usipoangalia utakuta kila kukicha unabadili wapenzi kama nguo kwakuwa hakuna aliekamilika kila mtu ana mapungufu. Sio unafumania mara moja basi unaacha au unaona msg kwenye simu unamuacha oooho utabadilisha wapenzi kama nguo hadi utakoma

Sio unafumania mara moja basi unaacha