Ukiondoa kwamba w/end ni siku za kupumzika kazini na watu kua wanafanya yao,kuna jambo kubwa muhimu ambalo mwanadamu hajifikilishi,Ijumaa ni siku ya ibada,Jmosi na Jpili pia ni siku za Ibada ambazo watu kwa imani tofautitofauti wanaenda kwenye masinagogi yao na nyumba za ibada kwa ajili ya toba,na siku hz Shetani huwavizia watu kuwaangusha ktk kumcha MUNGU.ndiyo maana utaona uovu mwingi ukiendelea ktk siku hzo! Shetani aliweka kiapo cha kuwatafuta wa kwenda nae jehanam,na anawavizia siku ambazo ni za mapumziko na kufanya yake,hawaendi kumwabudu MUNGU au wanaenda na wakitoka wanaishia guest house au bar,au kwenye fukwe za bahari na kukaa uchi uchi wakimtukuza Shetani bila wao kustuka,hayo ndo mavuno yake,kiufupi ni hivyo,mwenye sikio na asikie!!