Kitaalamu bro umeshindwa kuziba pengo la jamaa acha tu ndege arudi kwenye mti wake [emoji38][emoji38][emoji38] na Cha kwanza huyo mwanamke anakutafutia sababu akuache ndio maana kakuachia na simu kirahisi ili uone madudu na umeyaona .
Mzee msugue chap ka mwisho mwisho kabla hajakupatia sababu