Mahusiano jamani

Shida kubwa ya mwanamke ni mtu asiyeweza kuhimili vishawishi vya mwanaume huyo muhuni atamshawishi mpaka ataingia ktk kumi na nane zake, alafu usipende kupekua simu ya mpenzi wako.
 

Huna mtu hapo
 
Ndio tatizo la kuwa na kiherehere. Ungekuwa huna wenge la kuchunguza simu ya mwenzako ungejuaje yote hayo?

Utajua mwenyewe.
 
Hapo hauna muda mkuu. Dem bado ana huruma na ka upendo kalichojificha kwa ex wake. Cha msingi hesabu 1 hadi 10 usepe
 
Unataka kuoa huyo kenge?? au ni anafaa kwa matumizi tu...

Achana na mapenzi au kukagua simu ya mpenzi wako kama hauko tayari kuachana nae..
 
Ndo maana wanaume wanakufa mapema ase! Kama mambo yenyewe ndo haya😁😁
 
Take it easy huwezi jua huyo mwanaume kamsaidia mangap mpaka yeye kakubali kumkopa hiyo pesa na ujue kuna maisha baada ya kuachana.
 
Shida kubwa ya mwanamke ni mtu asiyeweza kuhimili vishawishi vya mwanaume huyo muhuni atamshawishi mpaka ataingia ktk kumi na nane zake, alafu usipende kupekua simu ya mpenzi wako.
Mwanaume Kuogopa kudukua sim ya mpenz wako ni dalil ya huyo mtu kukuweza..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…