Mahusiano gani ndiyo sahihi?

Mahusiano gani ndiyo sahihi?

Team R

Senior Member
Joined
Jan 2, 2014
Posts
186
Reaction score
33
Katka mapenzi,

1. mapenzi yanaweza kuwa matamu endapo uliyemkabidhi moyo wako anaitunza furaha yako,

2. pia mapenz yanaweza kuwa machungu kama uliyemkabithi moyo wako haufurahishi moyo wako,

Je katka mapenzi kinachosababisha mapenzi kuwa machungu au kuwa na mahusiano yasiyodumu baina ya wapenzi ni kupenda kwa macho yaani, muonekano, umbo, rangi kuwa pupa ya kupenda bila kumchunguza badala yakupenda kwa tabia?

Nawakaribisha kwa maoni.
Tiririka kwa maoni yako mwana JF.
 
Mapenzi hayana formulaa....kuna watu wamekaa uchumba ,wamezaa na wakaishia kuachana ht pete hawakuziona,
na wengine walikutana kwny one night stand,leo maisha yamewanyokea na wanapendana sn,...
Follow ur heart,Muombe Mungu akujalie..
 
Mapenzi hayana formulaa....kuna watu wamekaa uchumba ,wamezaa na wakaishia kuachana ht pete hawakuziona,
na wengine walikutana kwny one night stand,leo maisha yamewanyokea na wanapendana sn,...
Follow ur heart,Muombe Mungu akujalie..

ok nimekupata
 
Ni kweli vidole havifanani hata mapezi haya wezi fanana ni vyema kushukuru mungu
 
Mbona we umeshatoa majibu au unataka nyongeza?
 
ukiingia na kuwa na matarajio fulani kutoka kwa mwenzako mwisho wa siku ni maumivu, kama umependa basi tenda yale yatakayo mfurahisha mwenzi wako na sio kusubiri kutendewa tu.
 
Back
Top Bottom