nyiokunda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 2,164 Reaction score 1,338 Sep 5, 2017 #121 mitale na midimu said: hivi kwa nini kila mwaka lazima watu wafe? Hakuna mbinu za ziada kuzuia vifo? ni bora kungekuwa na watu wachache kuliko kuwa na idadi kubwa ambayo inaweka uhakika wa uwezekano wa watu kufa. Click to expand... Kafara Sent using Jamii Forums mobile app
mitale na midimu said: hivi kwa nini kila mwaka lazima watu wafe? Hakuna mbinu za ziada kuzuia vifo? ni bora kungekuwa na watu wachache kuliko kuwa na idadi kubwa ambayo inaweka uhakika wa uwezekano wa watu kufa. Click to expand... Kafara Sent using Jamii Forums mobile app
Che mittoga JF-Expert Member Joined Mar 28, 2017 Posts 14,624 Reaction score 18,454 Jun 19, 2024 #122 dudus said: Mkuu, hiyo ndio ibada yenyewe kwa taarifa yako. Click to expand... "Hiyo ndio ibada yenyewe kwa taarifa yako" Hapa tunakuelewa wachache sana. Uko deep mkuu.
dudus said: Mkuu, hiyo ndio ibada yenyewe kwa taarifa yako. Click to expand... "Hiyo ndio ibada yenyewe kwa taarifa yako" Hapa tunakuelewa wachache sana. Uko deep mkuu.
matunduizi JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 9,514 Reaction score 23,515 Jun 19, 2024 #123 Kafara. Mambo mengine watu wataelewa wakiwa wamechelewa. Mungu hawezi kubuni ibada za kuua