Njowepo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 9,710
- 2,226
Ngriiiii ngriiiiiiiiiiiiiii simu inaita,JK anapokea simu
JK:Hallow
Pinda:Hallow mkuu za uko
JK:Salama hofu kwenu ninyi mlio uko
Pinda:Mkuu bunge uku limewaka moto hali si shwari
JK:Mmecheki na fire brigade achana na za manispaa ila za watu binafsi kama Ultimate nk maaana zetu zaweza kuja zikawa hazina maji si unalijua ilo?
Pinda:Mkuu sio ivyo ila ni kuwa ile Barua ya Jairo kuomba ngawila ili kuwapoza wabunge wapitishe bujeti imevuja na wabunge wameokaa jamaa aachie ngazi
JK:Yamekuwa hayo mbona kila mwaka hayo utokea nani kavujisha bila shaka atakuwa upinzani hao hasa CDM as wanapenda sifa sana hao.
Pinda;Mkuu kheri ingekuwa CDM tungeweza ipuuzia kwa kusema ni maneno ya upinzani ni ccm wenzetu.
JK;Tunaanza kugeukana wenyewe kwa wenyewe naomba majina yao pls
Pinda :Ni Shelukindo na kwenye kikao cha wabunge wa chama wengi walishadadia Jairo atoswe.
JK:Huyu mama amesahau kuwa yeye ni CCM ngoja nkirudi atapata habari yake sasa issue bado iko moto au umeizima kimtindo
Pinda:Issue bado moto Jairo lazima apigwe chini ikiwezekana na akina Ngeleja
JK:Kumbe mambo mazito ivyo ngoja nkirudi siwezi fanya maamuzi ughaibuni
Pinda:Mbona kuna tetesi kuwa ameandika wakala wa kujiuzulu?
JK:Sound tuu izo ngoja nirudi
Maswali mengine mnaweza kuendelea