Lekanjobe Kubinika
JF-Expert Member
- Dec 6, 2006
- 3,020
- 577
Lakini inapendeza commedy yenu vijana. Nawapa High up.
Hebu nikumbusheni sasa hivi anatokea wapi ? na atakuwa na mapumziko ya siku ngapi Ikulu kabla ya kwenda kutafuta wamachinga(wawekezaji) wa kichina na kujitambulisha -sijui nchi gani bado hahahaha!Jk anatua leo
mh mbavu sina jamanikj: Nahawa komedi vipi wapo? Maana ha ha ha hawa jamaa huwa napenda sana kuwaangalia nikiwa ikulu palendapi: Wapo mkuu tena siku hizi wanakitangaza vizuri chama na serikali yakokj: Nafikiri kuwapa ukuu wa wilayandapi: Tena hizi mpyakj: Na hawa wenzetu walioanzisha ccj wanasemaje, yule tuliyemfukuza uspika?ndapi: Yupo hana jipyakj: Naona wema sepetu naye anaita siku hizi, unaonaje tumpe ubunge wa kuteuliwa?ndapi: Huyu anafaa mkuukj: Na kibonde naye aliniomba tumpe ukuu wa wilaya maana katutangaza vizuri sana kwenye jahazi pamoja na magamba yetu maana sasa mimi nilimwambia achukue akili za mbayuwayu achamnganye na zake
Tehe tehe tehe hebu mwambie jairo anibeep afu nimpgie mana isije akawa amesema ule mpango wetu..kwi kwi kwi......