Mahojiano ya Msigwa na Lema KTN: Serikali iongeze msisitizo kwenye somo la Kiingereza

Mi nawapongeza sisi wabongo tumesahau kuwa kingereza sio lugha yetu wangeshindwa kiswahili Hapo ningewaponda
 
Usipowapenda sawa,mbona upande wa pil kuna maprofesa lakin ni viaz,hawa wengine kwenye utendaji wa kaz na kuichachafya Serikal ni moto wa kuotea mbal
 
wamifurahisha pale walipoulizwa kuhusu serikali kutumia watu wa upelelezi kutoka nje...wakasema" we are still making noise" wakimaanisha bado hilo suala wanalipigia kelele, ha ha ha ha ha ha jamaa ni weupe sanaaa
 
sasa si wangechagua kuongea kiswahili tu
 
msigwa kakunja 4 na kiingereza chake kibovu, eti we are still making noise, akimaanisha bado tunaendelea kulipigia kelele hilo suala
Hilo La kukaa mkao wa kuweka 4 ni kosa kubwa mno kwenye manners ukikaa na mwanamke akiwa mbele yako. Wote wawili walionyesha Kama wana nyege mbele ya mwanamke aliyehoji. Kuweka 4 maana yake ile jeki katikati Ya mapaja inakuwa imenyanyuka kwa kumwangalia huyo baby anayekufanyia interview ulivyo na hamu naye. Kuficha hiyo jeki iliyonyanyuka ndio unakaa mkao wa 4 kuficha na ku suppress jeki isiendelee kunyanyuka zaidi ukaaibika huku ukiugulia Ndani kimya kimya. Huo mkao kwa kidume hautakiwi mtu ukikaa mbele Ya mwanamke. Naona wote wawili walizidiwa na yule mwanamama ndio maana walijikanyaga sana. KTN wajanja waliwafanyia kusudi wapate study Case Ya kufundishia wanafunzi wao WA journalism kuanzia Mambo Ya kiingereza, points, behaviour and manners nk. ule ukaaji tu ni kituko.Baba Mchungaji naona pia alizidiwa ikabidi akae mkao wa 4.Huhitaji kuwa mtaalamu wa nyege kujua kuwa wazee wazima uvumilivu umewashinda mzuka umewapanda kwenye mahojiano.Hiyo clip wakenya wataitumia sana kwenye vyuo na masomo ya uandishi wa habari Kama case study
 
msigwa kiingereza hajui aisee
Halafu yeye msigwa na lema wote walizidiwa na mahaba muda mwingi wakawa wanakodolea macho mapaja Ya muuliza maswali na yeye kuwapima Kama wamelewa penzi zaidi kuliko kilichowaleta akaanza kuongea mbele yao kuhakiki Kama vichwa vyao viko kwenye mahojiano au kwenye mapaja. Akaongea akasema Tanzania ilipata uhuru mwaka 1962 wala hawakubisha walivyolewa mapaja!!! Akawaambia nchi toka ipate uhuru CCM ina muda mrefu wakasema ndiyo ina miaka hamsini walivyolewa mapaja. Tanzania toka ipate uhuru mwaka 1961 ina miaka 56 na sio miaka yote CCM ilikuwepo CCM ilizaliwa 1977.Haya bibie akawacheki akaona penzi limekolea akawachomekea kuwa Lisu alipigwa risasi dar es salama hawakubisha wakawa penzi limekolea!!! Hawajielewi wako studio kwa ajili Ya nini!!!! Ile interview kifupi imewashinda yule mwanamke aweza Panda cheo KTN kwa jinsi alivyowamudu na kuwaonyesha wasikilizaji na mabosi kuwa aliokuwa anawahoji vichwani weupe. Yule mwanamke Ana uwezo mkubwa mno wa interviewing skills. KTN wampandishe cheo
 
Wenzetu wanajifunza kiingereza tangu chekechea, kwao hii lugha ni muhimu (academically). Sisi tunaanzia secoandary tena kwa shida, kwa hiyo actually za mheshimiwa ni size yake. Tujitahidi kwani tutaachwa kwenye mataa. East Africa community lugha ni kiingereza tutapona?
 
mkuu ukipita ufipa tunakuchoma moto,aisee
 
Brenda18, niliwahi kusimuliwa benki moja hapa nchini ambayo watumishi wake wakiwa kazini wanatakiwa kutumia Kiingereza tu! Hakuna ule umbea wa Kiswahili wala michapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…