Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,406
Yuko kitaa gani Oz? Sijajua kama kuna band ya memba toka Tz wanaofanya vituzzz
asante...lakini ni wimbo mzuriNi wimbo mzuri sana. Ila wengi hawajui kama amebadilisha mashairi tu, original yake
kama sikosei ni zimbabwe kuna filamu moja ya zamani kidogo niliiona kuna soundtrack
ya wimbo ambao bob ameuiga.
Sijawahi vutiwa na hao Wasanii.kuna wale wasanii wa zile timu mbili, uzuri hujamtaja hata mmoja wao, wangekupima tezi dume kwa keyboard