Mahmoud Ahmadinejad working as professor again

Kuna mahala nilisoma kwa sasa ana mradi mkubwa wa kujenga chuo kikuu cha sayansi jijini Tehran! Sera za huyu jamaa ni noma kwani anaamini kua IRAN itasimama km superpower km itainvest ktk sayansi na kwa sasa matunda ya elimu ya IRAN yanaonekana kwani ni noma ktk sayansi na wanazizidi nchi nyingi za ULAYA kwa technology na niwatengenezaji wazuri wa vifaa mbalimbali mfano, home eq, electric eq, mabwawa ya umeme, turbine za gas za umeme, wind turbine, magari, treni, meli na ndege na kwenye vifaa vya kivita uko ndo balaa kwani kwa sasa wanainvest sana uko na kwenye heavy machinery.....
 
Angekuwa fisadi asingepanda hilo basi; wananchi wangemfanyizia kwa hasira!!

Muhongo kupata cheo cha kuteuliwa tu keshatudharau watanzania wote! Sijui angechaguliwa na wananchi ingekuwaje. Tz mtu akiwa diwani tu anataka kila kitu apewe kwa fast track. Hospitali atangulizwe yeye, benki akifika asipange foleni, hata kanisani anataka atajwe yeye tu! Tuna tabu kweli nchi hii.
 
Angekuwa fisadi asingepanda hilo basi; wananchi wangemfanyizia kwa hasira!!
Mzee wa ruksa alikuwa na walinzi, lakini alizabwa "ze kibao".... sembuse kupanda daladala!!
 
haiayyyaaaaaaaa... naanza kuhurumia "ze toto" wa chuo atakacho enda kufundisha..i mean Zitto
 
Wapi mzee Mwinyi na Mkapa.Je,wanaweza kufanya hivi?

Hawa washazeeka. Lowasa anaweza? Kastaafu u PM bado kijana, ushawahi hata kumuona kwenye mabasi yaendayo kasi?
Kikwete akimaliza tutamuona sana. Haswa shughulini na misibani
 
haiayyyaaaaaaaa... naanza kuhurumia "ze toto" wa chuo atakacho enda kufundisha..i mean Zitto

hahahahaha, kiongozi, what do you mean exactly when you say, 'naanza kuhurumia 'ze toto'? Besides, huyu jamaa ameshaweka sihasa kwenye nia yake ambayo kimsingi, nilishasema, tusubiri tuone, kabla hatujakaa sawa, eti hivi majuzi akiwa Tabora, alitangaza kuendelea na sihasa kwa madai kuwa amekutana na Watanzania masikini wanaotaka mchango wake katika kukwamua maisha magumu waliyonayo. swali kwake, kwa miaka yote hiyo, hakuwahi kujua hali ya maisha ya Wantanzania hasa wanaoishi vivijini?
 
Hawa washazeeka. Lowasa anaweza? Kastaafu u PM bado kijana, ushawahi hata kumuona kwenye mabasi yaendayo kasi?
Kikwete akimaliza tutamuona sana. Haswa shughulini na misibani
Lowassa alistaafu lini maana ninavyojua mimi alijiuzulu.Weka rekodi sawa baba,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…