Mahmoud Ahmadinejad working as professor again


Source?
 
Tunaomba source ya habari mkuu?Mtu aliyekuwa amejizolea maadui wengi azagae hivihivi,Mossaad wamwache?
 
Ingalikua hapa angekaa tu kunenepeana na kusubiri kwenda kupimwa India basi...lakini me nashangaa mtu kama Rouhan hajui wazungu, saiv wanamdangnay siku akiharibu nyuklia zao tu wanamkalia shingoni na kuipiga Iran mpaka iwe vumbi!!!
 
A good example to many africans leaders.
 


Multi-billionaire New York City Mayor, Michael Bloomberg takes the subway to work on a regular basis
 
hiyo ndio inaitwa siasa sasa, maana SIHASA, huwezi niaminisha kwamba mtu aliyekua na majukumu ya kutoa maamuzi ya mwisho ya nchi kila siku, akisimamia na kuamrisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama aachwe kuzurura hovyo, labda zitakua haziwatoshi, si ajabu kufanya hivyo kujikeep busy lakini , bado ulinzi uko pale pale, marekani yenywe ndio hivi majuzi wamebadili sheria kupunguza miaka ya ulinzi na huduma mpaka 10 baada ya kumaliza kipindi cha kua madarakani..
 

 
 
nadhan labda ni afrika tu ndio marais wastaafu hawatathubutu kutembea mitaan hovyo kuhofia uhalifu waliokua wakiufanya dhidi ya raia wao!!!
 
Hahaaa watu hawajui siasa. Mahmud Ahmedneejad analindwa ile mbaya jamaaa, hapo waliomzunguka wote ni wasaidizi wake na kwenye hiyo picha kama siyo photoshop basi ujue anachukua lounge mwenyewena wasaidizi wake. Kurudi kuwa mwalimu ni jambo la kawaida sana kwa watu kama hao, mpaka sasa Waziri Mkuu wa India ana supervise PhD students.

Kwa viongozi wa hapa kwetu kinachowapa wakati mgumu ni kwamba wanapewa majukumu mengi sana baada ya kustaafu lakini pamoja na yote ulinzi ni lazima maana akili zetu zinataabu kam mzee mwinyi alivyo pigwa kofi
 
huyu jamaa namkubali sana...
 
Sha vurugwa huyo......anadanganya watu anapandaga daladala kumbe ilikua siku moja ili ajionyeshe kwa watu tena analindwa halafu behewa Zima ni yeye na walinzi wake......anawapa shida ya usafir wanaotegemea huo usafir...ndo yale ya aliekua katibu msaidiz wa Bank moon baada ya kupigwa chin akasema anarud kufundisha...kwahiyo kila anaeshindwa au kumaliza mda wake ndo anarud kufundish mnazibia vijana opportunity.
 

kuna gazeti lilitishiwa kufungiwa liliandika "alizabwa kofi" eti lilikua linachochea!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…