GE2025 Mahinyila: Uwakili sikuokota barabarani, Polisi hawawezi kunielekeza chochote nikiwa kazini kwangu

GE2025 Mahinyila: Uwakili sikuokota barabarani, Polisi hawawezi kunielekeza chochote nikiwa kazini kwangu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,498
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Wakili Deogratias Mahinyila, amezungumza na wanahabari Jumanne, Septemba 16, 2025, katika viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, akitoa ufafanuzi kuhusu kadhia iliyojitokeza Septemba 15, 2025 kati yake, wafuasi wa CHADEMA na maafisa wa Jeshi la Polisi.
 
Kujifariji zidi ya Policcm haina maana, wakishindwa kisheria, wanakuja kama Wakufikirika then wanakupoteza...
 
Kama waliingilia kazi yako walikukosea sana na kama wewe uliingilia kazi yao pia ulikosea sana
 
Back
Top Bottom