kitumbotala JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 516 Reaction score 625 Sep 27, 2017 #1 Habari zenu wananzengo, Ninauza magunia ya mahindi ya 100kg @100,000/= kama unahitaji kwa idadi utakayo naomba tuwasiliane tufanye biashara. Mzigo upo store wa kutosha. Mawasiliano: 0625568600
Habari zenu wananzengo, Ninauza magunia ya mahindi ya 100kg @100,000/= kama unahitaji kwa idadi utakayo naomba tuwasiliane tufanye biashara. Mzigo upo store wa kutosha. Mawasiliano: 0625568600
Akili 09 Nguvu 01 JF-Expert Member Joined Jun 23, 2015 Posts 695 Reaction score 1,398 Sep 27, 2017 #2 Kwa bei hiyo ya 1 kg Tshs 1000 hupati wateja, Mahindi huku kwetu bei ikiwa kubwaaaaa 1 kg ni tshs700
kilasendo Senior Member Joined Nov 21, 2016 Posts 145 Reaction score 183 Sep 27, 2017 #3 Bado hayajafika hiyo bei mkuu....bei ya jumla masokoni kilo 550