K kilya New Member Joined Apr 14, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Apr 14, 2012 #1 Wadau, Kwa anayehitaji mahindi ya mwaka jana, yanapatika mkoani Dodoma. Kwa details zaidi piga 0682 716931.
Wadau, Kwa anayehitaji mahindi ya mwaka jana, yanapatika mkoani Dodoma. Kwa details zaidi piga 0682 716931.
kalendi JF-Expert Member Joined Mar 17, 2012 Posts 1,361 Reaction score 605 Apr 14, 2012 #2 kilya said: Wadau, Kwa anayehitaji mahindi ya mwaka jana, yanapatika mkoani Dodoma. Kwa details zaidi piga 0682 716931. Click to expand... Ni sehemu gani? Na bei gani @ kg
kilya said: Wadau, Kwa anayehitaji mahindi ya mwaka jana, yanapatika mkoani Dodoma. Kwa details zaidi piga 0682 716931. Click to expand... Ni sehemu gani? Na bei gani @ kg
ndyoko JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 4,971 Reaction score 1,655 Apr 14, 2012 #3 kilya said: Wadau, Kwa anayehitaji mahindi ya mwaka jana, yanapatika mkoani Dodoma. Kwa details zaidi piga 0682 716931. Click to expand... Teteteteeeee! ulijua bei itapanda upate super profit! pole sana mkuu next time hupaswi kuchelewa kiasi hicho!
kilya said: Wadau, Kwa anayehitaji mahindi ya mwaka jana, yanapatika mkoani Dodoma. Kwa details zaidi piga 0682 716931. Click to expand... Teteteteeeee! ulijua bei itapanda upate super profit! pole sana mkuu next time hupaswi kuchelewa kiasi hicho!
Lastname JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 921 Reaction score 297 Apr 14, 2012 #4 harafu hujui hata kutangaza biashara ndio maana yanakudodea, unadhani kuna mtu anaweza kupiga simu bila kupata details za kumridhisha au kueleweka? inawezekana hujapigiwa simu siku nyingi unasingizia mahindi ya mwaka jana
harafu hujui hata kutangaza biashara ndio maana yanakudodea, unadhani kuna mtu anaweza kupiga simu bila kupata details za kumridhisha au kueleweka? inawezekana hujapigiwa simu siku nyingi unasingizia mahindi ya mwaka jana
BONGOLALA JF-Expert Member Joined Sep 14, 2009 Posts 16,511 Reaction score 11,913 Apr 14, 2012 #5 weka bei mkuu!hapa dar yanapatika hifadhi ya taifa sh 400 kilo
Mwanajamii JF-Expert Member Joined Mar 5, 2008 Posts 7,063 Reaction score 71 Apr 14, 2012 #6 Baba humu ukiweka bei km ni juu utasutwa, ndio maana umeogopa? Weka bei utauza! Hakika