Arsenal Gunner JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 10,891 Reaction score 17,696 Jun 11, 2024 #1 Wanajamvi naomba kuuliza mahindi ya kuchoma yanafaa Kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo maana nataseka sana aisee kupata fast food nikiwa mbali na nyumbani
Wanajamvi naomba kuuliza mahindi ya kuchoma yanafaa Kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo maana nataseka sana aisee kupata fast food nikiwa mbali na nyumbani
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 16,329 Reaction score 37,756 Jun 11, 2024 #2 Kwahiyo unakula mahindi ya kuchoma kama lunch?
Arsenal Gunner JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 10,891 Reaction score 17,696 Jun 11, 2024 Thread starter #3 Lavit said: Kwahiyo unakula mahindi ya kuchoma kama lunch? Click to expand... Hapana kutafuna tu ndio maana nimeuliza mgonjwa wa vidonda vya tumbo yanafaa
Lavit said: Kwahiyo unakula mahindi ya kuchoma kama lunch? Click to expand... Hapana kutafuna tu ndio maana nimeuliza mgonjwa wa vidonda vya tumbo yanafaa