Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Maeneo ya Dodoma na Singida hapo wananchi wanalalamika sana njaa mbona hawapeleki mahindi huko? na maeneo husika yanajulikana kwa ukame
Hili jambo sio dogo,wenye uwezo wa kufatilia kwa vyanzo mbalimbali wafanye hivyo kabla ya Ijumaa ili walao kwa siku mbili watu wa Arumeru wafahamishwe walivyo pewa sumu wafe kwa malipo ya kura.ngoja tufatilie huko Namibia
Aseeeee
Duh!!!!
stuka. Ccm wauaji.